Hiyo site (mahali pa habari) ni kwa mutu ye yote anayeona chini, mwenye kushuka moyo au anataka kujiua au ana wasiwasi juu ya rafiki au ndugu yake. Hapa kuna habari wazi, ambayo tunatumaini kwamba utaona ni mafaa.

Katika sehemu hii kurasa zote za habari zimeandikwa katika lugha ya Swahili. The International directory of helplines ni katika lugha ya Kiingereza, lakini kinaonyesha maelfu ya namba ya simu katika nchi zaidi ya 40.

Kupata namba ya simu ya msaada katika eneo lako
(Orodha ni katika Kiingereza, lakini unaweza kupata namba ya simu katika nchi zaidi ya 40 ulimwenguni pote)